Heaven on earth mke wangu kipenzi, nahisi ametekwa mbona simuoni humu ndani?

halafu we mshana jr utakuwa umefurahi sana kusikia eti wife Heaven on earth hapatikani humu! ila usijipe moyo bure we endelea kupenda avatar tu, mie niendelee kumpenda jumlajumla!

Fungua u tyubu Mshana jr ft Heaven on earth uone hiyo video mi can maneno meeeengi ,hafu alifyokudipu Nilikuwa naye maana tulipata habari kuwa kisim chako cha mchina kimejibuloku
 
Last edited by a moderator:

nilijua kabisa lazma ufanye umbeya hapa..

unataka uibiwe wewe?

by the way huyu ni rafiki yangu tuu..tena my best friend even my wife anaijua hili vyema sana
Heaven on earth asante mwaya urafiki gani huu hadianaomba kuingia chumbani namawaridi kitandani juice za ukwaju lol
yaani mume wangu kujipendekeza kote kupika pweza na juice ya parachichi bado wataka kukimbia kha kweli wanaume hamridhiki.angalia yasije yakakutokea kama ya juzi usiku shauri yaako
 
Ooooh! unadanganywa kabisa kuna mtu ali huck akaunt yangu mi hayo
Sijayasema hata kidogo...
 
Heaven on earth asante mwaya urafiki gani huu hadianaomba kuingia chumbani namawaridi kitandani juice za ukwaju lol
yaani mume wangu kujipendekeza kote kupika pweza na juice ya parachichi bado wataka kukimbia kha kweli wanaume hamridhiki.angalia yasije yakakutokea kama ya juzi usiku shauri yaako

mie mwenyewe nilipata mashaka,sema nikaambiwa una taarifa
ya shemeji kiwatengu kutengenezewa juice ya ukwaju na rafiki yake
 
Last edited by a moderator:
Fungua u tyubu Mshana jr ft Heaven on earth uone hiyo video mi can maneno meeeengi ,hafu alifyokudipu Nilikuwa naye maana tulipata habari kuwa kisim chako cha mchina kimejibuloku

yaani wewe!!!!!

maneno yako hadi UNDENIABLE wangu kaniwacha sasa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom