kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
juice nilikunywa jana...
chumbani niliingia jana..
utamu wa juice niliupata jana..
na leo shtaki kama ulivyofanya jana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
juice nilikunywa jana...
chumbani niliingia jana..
utamu wa juice niliupata jana..
na leo shtaki kama ulivyofanya jana...
aache kabisa!!!!
bado uko kisarawe tu
kabanga nitakaribia siku si nyingi!!!!!yeah! ndio mjini kwetu kisarawe... karibu
juice nilikunywa jana...
chumbani niliingia jana..
utamu wa juice niliupata jana..
na leo shtaki kama ulivyofanya jana...
leo haujanywa juice
leo haujaingia chumbani
kwahiyo sina cha kushtaki leo......
kama hamjawahi kusikia mwanamke akitoa talaka maana karibu litanishinda
kama hamjawahi kusikia mwanamke akitoa talaka maana karibu litanishinda
kama hamjawahi kusikia mwanamke akitoa talaka maana karibu litanishinda
Shemegi, hujambo? kwema? nini mbaya tena?