Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hana mapenzi nawe huyo kanitafutia convoy ya watu acha wanipige madowngo beba kilichako takupokea kwa asali na nyama taaam
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana mapenzi nawe huyo kanitafutia convoy ya watu acha wanipige madowngo beba kilichako takupokea kwa asali na nyama taaam
Hana mapenzi nawe huyo kanitafutia convoy ya watu acha wanipige madowngo beba kilichako takupokea kwa asali na nyama taaam
naona mnataka kuleta ugomvi nyumbani kwangu...
ugomvi umeutafuta mwenyewe......
kwani si ndo tulikwambia ukanywe juice ya ukwaju!!!
hapo rohoni naona unakaufuraha...
kaka kwema? habari ya swaumu?
Shemegi, hujambo? kwema? nini mbaya tena?
dismynder1 zamani alikuwa anajiita Passion Lady
​hahahaaaa!!halua haluaaaaa!!Ooooh! unadanganywa kabisa kuna mtu ali huck akaunt yangu mi hayo
Sijayasema hata kidogo...
mwanaume ananishinda shemeji kila sketi anaitolea macho,inauma sna
si kwema kuna binadamu wanataka kusababisha nipigwe talaka hapa..
mie mwenyewe ile nimeimiss
halafu soon PL inarudi hewani
nimeimiss sana aiseee!!
nilimtengenezea juice ya ukwaju
yenye kilevi,na sasa hvi ndio anaamka aende
kwa my wife wake!!
​usijali itarudi wangu!!mie mwenyewe ile nimeimiss
irudi tuu kwakweli!!!!!