Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Kwani wote si wanaanzia na heaven.Heaven sent na Heaven on Earth ni watu wawili tofauti mkuu.
Mi nilibahatika kuanza naye mwanzo mwanzo ,Leo nimeshachungulia mara kadhaa Naona hajaongezea kitu kipya najua anakula Bata la mwaka mpya ....nataka nije nimuombe atuwekee gharama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilibahatika kuanza naye mwanzo mwanzo ,Leo nimeshachungulia mara kadhaa Naona hajaongezea kitu kipya najua anakula Bata la mwaka mpya ....nataka nije nimuombe atuwekee gharama
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye kasema alitumia 560 dolari mkuuMi nilibahatika kuanza naye mwanzo mwanzo ,Leo nimeshachungulia mara kadhaa Naona hajaongezea kitu kipya najua anakula Bata la mwaka mpya ....nataka nije nimuombe atuwekee gharama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema ana chura ndogoMi nilibahatika kuanza naye mwanzo mwanzo ,Leo nimeshachungulia mara kadhaa Naona hajaongezea kitu kipya najua anakula Bata la mwaka mpya ....nataka nije nimuombe atuwekee gharama
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nimekumix aisee nimempa sifa mtu mwingine,kumbe ni wewe.Haaaa Nime update post 344 & 347.
Nitaihamishia page ya mwanzo lakini.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umetamani pua yangu au ya heaven on earth.Mimi pua nimetamani sana.
Nutajitahidi mwaka huu mwezi wa 12 nami nikapande mlima Kilimanjaro
The Sapiens
Sikujui dada huwa nakusoma tu humu...lakini nikiri wazi kuwa uzi wako wa stori yako ya kupanda mlima kilimanjaro umenibadili sana mtazamo kuhusu maisha dada,ubarikiwe sana.
Nimeweka dhamiri ya kuwa mwaka huu au ujao lazima nipande mlima kilimanjaro.
Na kwa sababu niko mbeya,mwaka huu nitapanda mlima MBEYA NA LOLEZA ili kuunga mkono juhufi zako dada Heaven Sent.
Nimeona picha zako pia ingawa ulifunga uso,lakini you are cute and pretty.
Nimekupenda sana Heaven sent.
Uzi huu hapa.
Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app