Heaven sent : Uzi wako umekuwa bora kwangu kwa mwaka 2018-2019,hujajua kiasi gani umeniispire.

Heaven sent : Uzi wako umekuwa bora kwangu kwa mwaka 2018-2019,hujajua kiasi gani umeniispire.

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Sikujui dada huwa nakusoma tu humu...lakini nikiri wazi kuwa uzi wako wa stori yako ya kupanda mlima kilimanjaro umenibadili sana mtazamo kuhusu maisha dada,ubarikiwe sana.

Nimeweka dhamiri ya kuwa mwaka huu au ujao lazima nipande mlima kilimanjaro.

Na kwa sababu niko mbeya,mwaka huu nitapanda mlima MBEYA NA LOLEZA ili kuunga mkono juhufi zako dada Heaven Sent.

Nimeona picha zako pia ingawa ulifunga uso,lakini you are cute and pretty.

Nimekupenda sana Heaven sent.

Uzi huu hapa.

Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nimependa mlima Mbeya, ,ni zoez pia Mkuu
 
Mi nilibahatika kuanza naye mwanzo mwanzo ,Leo nimeshachungulia mara kadhaa Naona hajaongezea kitu kipya najua anakula Bata la mwaka mpya ....nataka nije nimuombe atuwekee gharama

Sent using Jamii Forums mobile app

Haaaa Nime update post 344 & 347.
Nitaihamishia page ya mwanzo lakini.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi pia nimetamani sana.
Nitajitahidi mwaka huu mwezi wa 12 nami nikapande mlima Kilimanjaro

The Sapiens
 
Mazoezi sio kuongea kwa mdogo, ni kugumu kunaitaji kujitoa na spirit kubwa.

Sasa kama wew hata kutembea kwenda sokoni huwa unaona kaz ngumu, Usije ukashoboka na kupanda Mlima kabisaaaa.

Back
Top Bottom