The Sapiens
Member
- Dec 31, 2018
- 93
- 86
Hahaha,si unajua tena mkuu smartphone hizi shida tu,unaandika moja inatokea kumi na moja.
Usitutiiiiiiiisssshhhh3eee..in maalim voiceMazoezi sio kuongea kwa mdogo, ni kugumu kunaitaji kujitoa na spirit kubwa.
Sasa kama wew hata kutembea kwenda sokoni huwa unaona kaz ngumu, Usije ukashoboka na kupanda Mlima kabisaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuuHahaha,si unajua tena mkuu smartphone hizi shida tu,unaandika moja inatokea kumi na moja.
The Sapiens
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu
Mimi nilivyonunua simu nakumbuka nililipa elfu ttu ya usajili na picha mbili za pasport ili kuungiwa whattsap
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameendelea leo nakafika kileleni hapa. Kauchungulie tenaMi nilibahatika kuanza naye mwanzo mwanzo ,Leo nimeshachungulia mara kadhaa Naona hajaongezea kitu kipya najua anakula Bata la mwaka mpya ....nataka nije nimuombe atuwekee gharama
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kaweka kule juu kbs mkuuMi nilibahatika kuanza naye mwanzo mwanzo ,Leo nimeshachungulia mara kadhaa Naona hajaongezea kitu kipya najua anakula Bata la mwaka mpya ....nataka nije nimuombe atuwekee gharama
Sent using Jamii Forums mobile app
HOE bado tu haujafika Kileleni? Maliza unatunyima UTAMU.Haaaa Nime update post 344 & 347.
Nitaihamishia page ya mwanzo lakini.
Sent from my iPhone using JamiiForums
HAHAHAMazoezi sio kuongea kwa mdogo, ni kugumu kunaitaji kujitoa na spirit kubwa.
Sasa kama wew hata kutembea kwenda sokoni huwa unaona kaz ngumu, Usije ukashoboka na kupanda Mlima kabisaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
NDIO TABU INAPOANZIA HAPO SASA
Thanks kwa update yaani kama naangalia MOVIE ya Kutisha vile!!
Hii ndio JF. Ukianzishwa uzi wa kumsifia fulani mnasema anajipa kick au katumwa kusifia. Ila ukianzishwa uzi wa kumshambulia fulani hakuna anayehoji kama katumwa.
Shughuli si ndogo T ake, ila that sense of accomplishment sasa . Yani i wish ningekuwa nishatoka huko kileleni na mimi nasimulia. Wajina ni malkia wa nguvuHeaven Sent T ake una case..
Yaani hata kuniita tukapande wote...lol
Hongera sana kwa wajina wako lakini, hii shughuli yataka moyo haswa!
Shughuli si ndogo T ake, ila that sense of accomplishment sasa . Yani i wish ningekuwa nishatoka huko kileleni na mimi nasimulia. Wajina ni malkia wa nguvu
Hivi tulivyopandaga Kilimanjaro mwaka 2006 ulikuwepo?Mbona kama aliweka mwanzo
Dollar 500 na ushee