Heaven sent : Uzi wako umekuwa bora kwangu kwa mwaka 2018-2019,hujajua kiasi gani umeniispire.

Heaven sent : Uzi wako umekuwa bora kwangu kwa mwaka 2018-2019,hujajua kiasi gani umeniispire.

Mi nilibahatika kuanza naye mwanzo mwanzo ,Leo nimeshachungulia mara kadhaa Naona hajaongezea kitu kipya najua anakula Bata la mwaka mpya ....nataka nije nimuombe atuwekee gharama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameendelea leo nakafika kileleni hapa. Kauchungulie tena
Screenshot_20190101-144810.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heaven Sent T ake una case..
Yaani hata kuniita tukapande wote...lol

Hongera sana kwa wajina wako lakini, hii shughuli yataka moyo haswa!
 
Heaven Sent T ake una case..
Yaani hata kuniita tukapande wote...lol

Hongera sana kwa wajina wako lakini, hii shughuli yataka moyo haswa!
Shughuli si ndogo T ake, ila that sense of accomplishment sasa . Yani i wish ningekuwa nishatoka huko kileleni na mimi nasimulia. Wajina ni malkia wa nguvu
 
Shughuli si ndogo T ake, ila that sense of accomplishment sasa . Yani i wish ningekuwa nishatoka huko kileleni na mimi nasimulia. Wajina ni malkia wa nguvu

Haswa aseh!

The feeling must be Great, like you're on top of the World.
 
Back
Top Bottom