Heavy fines for agencies and employers in Saudi Arabia in regards to Kenyans working there. Will this help reduce the numbers of deaths?

Heavy fines for agencies and employers in Saudi Arabia in regards to Kenyans working there. Will this help reduce the numbers of deaths?

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Wakati Wakenya wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu mateso, passport kushikiliwa na contracts fake, Saudi Arabia sasa imeweka fines kali kwa employers wanaokiuka sheria.

Sheria mpya iliyotolewa na Ahmed Al-Rajhi amesema kuwa
SR10,000 (KSh 340K) fine for hiring bila valid permit
SR200,000 (KSh 6.8M) for illegal recruitment
SR3,000 (KSh 103K) for kushikilia passport
SR1,000 (KSh 34K) for failing to document contracts

Kwa Wakenya wanaenda Saudi kutafuta greener pastures, hii ni both warning na protection.

Ukienda bila papers legit, risk ni kubwa. Lakini pia, employers sasa wanaadhibiwa wakikunyanyasa au kuvunja sheria.

Papers lazima ziwe sawa juu wengi wameumia kabla.

Hii itasadia kupunguza vifo za wanadada wetu ama ni mchezo wa town ambapo hakuna lolote litatiliwa maanani?
Source:Tuko.co.ke
 
Back
Top Bottom