Hebu acheni umbulula huo.....!!!

Hebu acheni umbulula huo.....!!!

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,120
Reaction score
439
eti mtu anajidai eti kachaguliwa uds,udom mara mzumbe na kuwaona wengine wanaokwenda kwenye vyuo vingine kama hawatapat elim bora kama yake,afu mbulula mwenyewe eti udsm BAED hajui kama akimaliz hata pangiw mjin anarushw umbwinde huko maji ya kisima!
 
si umtaje tu kwa jina mbona unafichaaa.... au ndo....
 
Bila shaka unamsema dogo mmoja anaitwa oil sumu.
 
hahaahaa bila shaka huyo ni oil sumu mwalimu mtarajiwa
 
Last edited by a moderator:
wanaboa xana wadau....kwanza kaenda na 3 ya 13 hapo udsm afu ya h kunani bas anapiga pyepye nyingi kama ye ndo T.O mwenyewe kumbe ni mbulula tuu!!
 
kanaboa kweli....afu kamwalimu ka kiswahili na history bas kanajiona kichwa kweli kuchaguliwa udsm!!
 
unampa kichwa co udsm(main campus) ni muce lichuo lenyewe lipo iringa huko poriniii
 
kelele zote kumbe kanaenda mkwawa chuo chenyewe kipo karibu na makaburi yanaitwa makanyagio!!
 
bora ce wa ardhi chuo chetu hakina BAED....

man of steel hebu tukiweke pemben kwanza chuo chetu hcho uclas! Kinajulikanaa kuwa baadhi ya course zake ni za pekee hapa tanzania! Bt now tushirikiane kuondoa huu unyanyasaji wa vyuo unaoendelea! By the way tukutane ardhi kwenye usajili tar16 septr
 
sawa darius nmekusoma mwana UCLAS mwenzangu na shukrani kwa taarifa....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom