cantonna
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,120
- 439
eti mtu anajidai eti kachaguliwa uds,udom mara mzumbe na kuwaona wengine wanaokwenda kwenye vyuo vingine kama hawatapat elim bora kama yake,afu mbulula mwenyewe eti udsm BAED hajui kama akimaliz hata pangiw mjin anarushw umbwinde huko maji ya kisima!