si umtaje tu kwa jina mbona unafichaaa.... au ndo....eti mtu anajidai eti kachaguliwa uds,udom mara mzumbe na kuwaona wengine wanaokwenda kwenye vyuo vingine kama hawatapat elim bora kama yake,afu mbulula mwenyewe eti udsm BAED hajui kama akimaliz hata pangiw mjin anarushw umbwinde huko maji ya kisima!
kanaboa kweli....afu kamwalimu ka kiswahili na history bas kanajiona kichwa kweli kuchaguliwa udsm!!
kelele zote kumbe kanaenda mkwawa chuo chenyewe kipo karibu na makaburi yanaitwa makanyagio!!
bora ce wa ardhi chuo chetu hakina BAED....
man of steel hebu tukiweke pemben kwanza chuo chetu hcho uclas! Kinajulikanaa kuwa baadhi ya course zake ni za pekee hapa tanzania! Bt now tushirikiane kuondoa huu unyanyasaji wa vyuo unaoendelea! By the way tukutane ardhi kwenye usajili tar16 septr
hahaahaa bila shaka huyo ni oil sumu mwalimu mtarajiwa
omba msamahaa mkuu oil sumu
eee!kumbe humu kuna vilaza watupu!aeeeeeeeeeeeee
kwan nimechangia k2 gan kwny hii thd