Hebu angalia wanyamwezi tunavyo Re-mix maneno/majina ya kiingereza/kiswahili.

keep on rolling - kibororoni

Umechapia mkuu. Mzungu alishindwa kuona kilele cha pili cha Mt. Kilimanjaro, I mean hakuweza kuona Mawenzi, kisha alimaka: 'I can see Kibo alone, Kibo alone, bull sheet...'
 
Dodoma; wazungu walishindwa kutamka Idodomya, so ikawa, 'I'm going to Dodoma'.
 
kwenye mabanda ya mpira utaskia Mchezaji huyu AMEPROVE badala ya AMEIMPROVE

SUBSTUTE=SUBSTITUTE
 
dont pot cry me=usi nichungulie mimi

brother suger cane = kaka mua
spring =sipiringi
 
Musa Hasani = Msasani
Shekhe Kilango = Shekilango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…