qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Alimfunika kwenye shoo walizoandaa mwaka jana..
judith vs MwanaFatuma
Style anayoimba jide na fa ni vitu viwili tofauti so mashabiki wa jide hawawezi kuwa wa fa... sio wote wasikiliza taarab wanapenda hiphop
choko ni mama yako mkuu sio jide!
respect our mothers and sisters *kwani we ulijizaa bro! au ulitokea wapi kwani?* :embarassed2:bro stop insult mother..kumaa wewee
Huyo mwana fatuma ni laki tano utapata jibu mwenyewe
Elezea kivipi sio unatusi ukija kuzinguliwa uanze kulia lia humu
Mwana Fa ana masters ya UK, JIDE ni FORM FOUR LEAVER!
#TWENDEKAZI
Ungetuambia na chuo kabisa!! Maana huko nako kuna vyuo kama Amazon,Data Star,The utalii college! Na kwa nini hakupiga Masters yake hapa bongo??
Mwana Fa ana masters ya UK, JIDE ni FORM FOUR LEAVER!
#TWENDEKAZI
Mwana Fa ana masters ya UK, JIDE ni FORM FOUR LEAVER!
#TWENDEKAZI
Gharama ya kumchukua Jd ni milioni na laki tano kima cha chini wakati Huyo mwana fatuma ni laki tano utapata jibu mwenyewe