Hebu elezeni ni vipi Jide kamfunika FA kwenye muziki

Hebu elezeni ni vipi Jide kamfunika FA kwenye muziki

Kapata show ngapi kwa hizo hela?

Nyingi sana,na nyingine anazikataa..Mwaka jana kazunguka nchi nzima.Ukiondoa show ni msanii mwenye deal nyingi za ubalozi tz,ana-make millions kwa hilo tu...Ana tv show pia anatengeneza pesa kwa hilo...ebu mumuache
 
Back
Top Bottom