matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Jun 14, 2014 #41 Revocatus Kashaga said: Mwana Fa ana masters ya UK, JIDE ni FORM FOUR LEAVER! #TWENDEKAZI Click to expand... Kusoma masters sio kupata masters...unauhakika aligraduate?
Revocatus Kashaga said: Mwana Fa ana masters ya UK, JIDE ni FORM FOUR LEAVER! #TWENDEKAZI Click to expand... Kusoma masters sio kupata masters...unauhakika aligraduate?
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Jun 14, 2014 Thread starter #42 matumbo said: Jide ni million 8..autaki watu watamfata machozi band Click to expand... Kapata show ngapi kwa hizo hela?
matumbo said: Jide ni million 8..autaki watu watamfata machozi band Click to expand... Kapata show ngapi kwa hizo hela?
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Jun 14, 2014 #43 Viol said: Kapata show ngapi kwa hizo hela? Click to expand... Nyingi sana,na nyingine anazikataa..Mwaka jana kazunguka nchi nzima.Ukiondoa show ni msanii mwenye deal nyingi za ubalozi tz,ana-make millions kwa hilo tu...Ana tv show pia anatengeneza pesa kwa hilo...ebu mumuache
Viol said: Kapata show ngapi kwa hizo hela? Click to expand... Nyingi sana,na nyingine anazikataa..Mwaka jana kazunguka nchi nzima.Ukiondoa show ni msanii mwenye deal nyingi za ubalozi tz,ana-make millions kwa hilo tu...Ana tv show pia anatengeneza pesa kwa hilo...ebu mumuache