Ahahahaaaaahh!!!! Ngoja nikapate chai kwanza....LOL!!Binadam wana utaratibu wao kutongozana na hadi wanapofanya mapenz.........lakini wanyama nao wana utaratibu wao,na ndege nao wana utaratibu wao,mathalan KUKU,jogoo anapotaka kukutana kimwili na kuku jike,kinachotokea hapo ni kuanza kukimbizana kwa muda mrefu sana,kama jogoo legelege na hana mazoez anaweza akakosa penzi,najiuliza kwanini inakua hivi,Imagine na binadamu wangetumia style kama ya kuku je ingekuaje?hasa maeneo yenye msongamano kama vile posta,kariakoo,au ONE WAY DODOMA,au eneo lolote lenye msongamano wa watu......ukiwaangalia mbwa nao ndio usiseme,wakinatana hapo,mmmmh
Hahahahahaa! Ilikuwaje waje mpaka ukapata hili wazo mkuu? Au umewaona mbwa asbh hii sehemu sehemu?
Binadam wana utaratibu wao kutongozana na hadi wanapofanya mapenz.........lakini wanyama nao wana utaratibu wao,na ndege nao wana utaratibu wao,mathalan KUKU,jogoo anapotaka kukutana kimwili na kuku jike,kinachotokea hapo ni kuanza kukimbizana kwa muda mrefu sana,kama jogoo legelege na hana mazoez anaweza akakosa penzi,najiuliza kwanini inakua hivi,Imagine na binadamu wangetumia style kama ya kuku je ingekuaje?hasa maeneo yenye msongamano kama vile posta,kariakoo,au ONE WAY DODOMA,au eneo lolote lenye msongamano wa watu......ukiwaangalia mbwa nao ndio usiseme,wakinatana hapo,mmmmh
Mungu alisema awepo kuku, mbwa nk lakini kwa mwanadam akamuumba kwa mkono wake mwenyewe! so huwez mfananisha mnyama na mwanadam hata siku moja, wanyama wana-do for production na sio starehe, wanadam 2na-do kwa ajili ya production na starehe pia, thus y 2naitaj privacy ya ukwee. ila sred yako bana
Ahahahaaaaahh!!!! Ngoja nikapate chai kwanza....LOL!!
Binadam wana utaratibu wao kutongozana na hadi wanapofanya mapenz.........lakini wanyama nao wana utaratibu wao,na ndege nao wana utaratibu wao,mathalan KUKU,jogoo anapotaka kukutana kimwili na kuku jike,kinachotokea hapo ni kuanza kukimbizana kwa muda mrefu sana,kama jogoo legelege na hana mazoez anaweza akakosa penzi,najiuliza kwanini inakua hivi,Imagine na binadamu wangetumia style kama ya kuku je ingekuaje?hasa maeneo yenye msongamano kama vile posta,kariakoo,au ONE WAY DODOMA,au eneo lolote lenye msongamano wa watu......ukiwaangalia mbwa nao ndio usiseme,wakinatana hapo,mmmmh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ingekuwa nguo kuchanika watu wanakimbizana hadi bungeni