Binadam wana utaratibu wao kutongozana na hadi wanapofanya mapenz.........lakini wanyama nao wana utaratibu wao,na ndege nao wana utaratibu wao,mathalan KUKU,jogoo anapotaka kukutana kimwili na kuku jike,kinachotokea hapo ni kuanza kukimbizana kwa muda mrefu sana,kama jogoo legelege na hana mazoez anaweza akakosa penzi,najiuliza kwanini inakua hivi,Imagine na binadamu wangetumia style kama ya kuku je ingekuaje?hasa maeneo yenye msongamano kama vile posta,kariakoo,au ONE WAY DODOMA,au eneo lolote lenye msongamano wa watu......ukiwaangalia mbwa nao ndio usiseme,wakinatana hapo,mmmmh