Ndoa maana yake nini?Je mahusiano maana yake nini?Halafu pia mwenzi wa ndoa nini au ni nani?Usikurupuke,jiulize vyema juu ya unachotaka kujibu halafu ndo ujibu! ITAKUSAIDIA HII!
Ndoa mana yake ni kufunga ndoa na watu wanashuhudia.
Mahusiano mana yake ni njia moja au nyingine kuwasiliana na wenzako...mfano nchi kwa nchi, mke na mme. boy friend na girl friend, mwalimu na mwanafunzi na mambo mengi ya kuwasilisha sehemu mbili au zaidi ya mbili.
Mwenzi wa ndoa ni mtu ambaye unatarajia kuingia naye kwenye ndoa.
Wewe nia yako ni kuelimika au kutukana? Kama una majibu mazuri kwa nini umepost hayo maswali? Toa majibu basi kwanza wewe mwenyewe. Je wewe maswali yako siyo ya kukurupuka? Waachie watu nafasi bwana wamwage ujuzi wao, wewe utachambua linalokufaa likusaidie mbele ya safari.
mi sipo ndoan ila najip vile navyohisi nafaham,ndoa ni muunganiko wa watu wa wawili,waliokubaliana kuwa mwili mmoja kama mume na mke,kwa shida na raha.
Mahusiano ni ule muunganiko uliotokea baina ya pande hzo mbili kuishi katika ndoa,
Mwenzi ni yule uliemkubali wewe kuingia nae katika makubaliano ya ndoa......:A S-heart-2: