Hebu jibu wewe unaedhani unajua. . . . . . . . . .!!

Hebu jibu wewe unaedhani unajua. . . . . . . . . .!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Ndoa maana yake nini?Je mahusiano maana yake nini?Halafu pia mwenzi wa ndoa nini au ni nani?Usikurupuke,jiulize vyema juu ya unachotaka kujibu halafu ndo ujibu! ITAKUSAIDIA HII!
 
Ndoa mana yake ni kufunga ndoa na watu wanashuhudia.

Mahusiano mana yake ni njia moja au nyingine kuwasiliana na wenzako...mfano nchi kwa nchi, mke na mme. boy friend na girl friend, mwalimu na mwanafunzi na mambo mengi ya kuwasilisha sehemu mbili au zaidi ya mbili.

Mwenzi wa ndoa ni mtu ambaye unatarajia kuingia naye kwenye ndoa.
 
Wewe nia yako ni kuelimika au kutukana? Kama una majibu mazuri kwa nini umepost hayo maswali? Toa majibu basi kwanza wewe mwenyewe. Je wewe maswali yako siyo ya kukurupuka? Waachie watu nafasi bwana wamwage ujuzi wao, wewe utachambua linalokufaa likusaidie mbele ya safari.
 
fazaa,nimetabasamu kwa tafsiri yako,duh!
 
Last edited by a moderator:
RUBERTS,umeona nimetukana wapi ndugu yangu?Au kusema usikurupuke ndo kutukana?
 
Last edited by a moderator:
mi sipo ndoan ila najip vile navyohisi nafaham,ndoa ni muunganiko wa watu wa wawili,waliokubaliana kuwa mwili mmoja kama mume na mke,kwa shida na raha.
Mahusiano ni ule muunganiko uliotokea baina ya pande hzo mbili kuishi katika ndoa,
Mwenzi ni yule uliemkubali wewe kuingia nae katika makubaliano ya ndoa......:A S-heart-2:
 
Vaislay,asante kwa difinisheni yako!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh! Nilitaka nikurupuke, ngoja nikajipange kwanza. B'dae.
 
Husninyo,bora wewe maana wengine unaweza kuvunja ndoa!
 
Last edited by a moderator:
Ndoa ni mkataba wa wawili kuishi pamoja for the rest of life. Mahusiano ni ukaribu wa zaidi na mtu sio lazima awe ndugu yako.

Mwenzi wa ndoa ni mshiriki katika ndoa
 
Ndoa ni mkataba wa wawili kuishi pamoja for the rest of life. Mahusiano ni ukaribu wa zaidi na mtu sio lazima awe ndugu yako.

Mwenzi wa ndoa ni mshiriki katika ndoa

Je huo mkataba ni lazima uwe for the rest of life ili ujulikane kama ndoa??
 
Je huo mkataba ni lazima uwe for the rest of life ili ujulikane kama ndoa??

Ndio coz when you get married you don't plan to divorce/separate but sometimes shit happens! Thats why its called holly harmony.
 
Ngoja niendelee kuangalia majibu ya watu!
 
Back
Top Bottom