Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Prof .RPC Temu nitamkubali mpaka kesho.Alikuwa na msemo wake mmoja"Mimi ndio botanist nikiebaki Tanzania nzima,tulikuwa wawili mwenzangu amekufa"😃😃
 
Dk. flani hapa chuo namkubali sana. Siku moja akadai
"Mlivyo wanafiki chupi mnaita nguo ya ndani na matako mnaita makalio. Tako ni tako tu, kalio jina. Mbona sijawahi kusikia miguu mnaita matembeleo[emoji23]"
😂😂😂😂😂😂 hii kali
 
Nawapenda woteeee,kama Benson Barner,Lwaitama,Jingu ila nikimkumbuka Bashiru Ally miguu yote inaisha nguvu!
 
Dean of student pale UDOM-COED Dk Mlaki..asee Maza hujawah kunifundsha ila ulitulea Kama wanao..natafta hela nije nikupe zawadi nzuuuriii...Mr kwambaza..Mr yohana..Mr Mwenda..dah. ..Mungu awape maisha marefu Mara elfu hamsa....
nami naongeza kwa kuwataja dk.sungwa,Tito,dk tandika,dk kano,dk ndibalema,dk mgonja,prof. Kabigumila, dk mtahabwa,mkanachi,dk msangi wa ICT, mbabe mbaula, e.t.c
 
Ah namkumbuka professor Ludovik krosnovik kutoka Petersburg R.U, huyu prof alikuwa fair sana kwa wanafunzi waafrika
Na professor Anna Gilardo toka university of paldova italy, huyu mama ana vi project vyake rwanda bas alinipa shavu la internship pale Gisenyi
 
Prof .RPC Temu nitamkubali mpaka kesho.Alikuwa na msemo wake mmoja"Mimi ndio botanist nikiebaki Tanzania nzima,tulikuwa wawili mwenzangu amekufa"😃😃

😂Haha msemo wake wa miaka nenda rudi huo,..sema sio uongo kile kichwa botany imelala pale.,nilimuinulia mikono zaidi wakati wa field.

Unamkumbuka prof, Munishi ?


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
😂Haha msemo wake wa miaka nenda rudi huo,..sema sio uongo kile kichwa botany imelala pale.,nilimuinulia mikono zaidi wakati wa field.

Unamkumbuka prof, Munishi ?


Let's meet at the top, cheers 🍻
Temu ni shida.Munishi ninamkumbuka vizuri mkuu,alinifundisha na aina fulani ya Prof ambae hana kujivuna,yuko simple sana
 
Dr Mashindano yupi?Yule aliyekuwa anafundisha watu wa Economics huko

Nimecheka sana yule jamaa kuna siku alikuja class kutufundisha EC 116 nadhani ni Principles of Economics 11 amejaza mafunguo zaidi ya ishirini

Sijawahi kumuelewa darasani hata siku moja,Ni kama anaongea mwenyewe

Wale waliosoma enzi hizo Udsm watamkumbuka sana ingwa hakuwa mwalimu wetu
 
Nina swali fikirishi kidogo,hivi kwa nini maprof wa zamani walikuwa na mvi mvi kuashiria umri umekwenda?
Vyuo havikuwa na succes plan ya idara ,department na facult ?
Au ndio uoga wa kuitumia maarifa mtaañi wakawa wanaomba wenyewe wafanye kazi kwa mkataba.
 
La Kopoka !Yule Mzee Kuna Rika aliruka ....nafikiri miaka 18 -35,kwa kuwa matendo ya umri ule alikuja kuyafanya akiwa na 50'
 
S/M Muharango:- Mwl. David Mkangara (Hisabati na Kiingereza), Alfred Ohongo Nsabo - Kiingereza na Maarifa ya Jamii, Jumanne Mgika - Kiswahili, Monica Mashauri - Kuandika na Kiswahili, Werema Musira - Kuhesabu, Kuandika, Hisabati na Sayansi, Azaria Maganya - Kiingereza na Maswe Maswi - Hisabati

Nyamagaro Shule ya Upili
Jovinally Oyaki Masisi -Fizikia, Kemia na Hesabu), *Mbai Seruka-Hesabu, Kemia na Fizikia, Florence Magambo -Kemia na Bailojia, *Alfred - Hesabu na Kemia, *Benjamin Harrison ( Thomas) -Fizikia na Hesabu, *David Marwa -Hesabu na Fizikia, *Ezekiel Baraka - Kiingereza na Kiswahili, *Johana Marwa -Kiswahili, *Eziekiel Machumu Chatta - Bailojia na Kemia pamoja na *Advelina Shilangila (Shingisha) Kiingereza na Jiografia alikuwa pia ni Mhadhiri wa Chuo cha Mt. Augustino cha Mwanza
 
Prof.Shirima A.k.a Mabenzi aaah jamaa alikuwa akikufundisha somo la Building Materials daah utazani kavumbua yeye.Bila kusahau prof.Msambichaka mtaalamu wa Theory of structures
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…