Temu ni shida.Munishi ninamkumbuka vizuri mkuu,alinifundisha na aina fulani ya Prof ambae hana kujivuna,yuko simple sana
😂😂 Munisi hana tofauti na Late Prof Madofe.Hah umenikumbusha mbali Sana Yule mzee (munishi) alikuwa hapendi kufanya maisha yawe magumu, akifundisha mpaka mitihani yake unaeza sema maisha ndio haya sasa 😂
Let's meet at the top, cheers 🍻
😂😂 Munisi hana tofauti na Late Prof Madofe.
Prof Migunga unamkumbuka?
Madofe lecture ya mwisho aliipiga darasani kwetu,ndani ya wiki hiyo akafariki.Madofe yeah though intake yetu hatukumu enjoy sana umauti ukamkuta, same to Migunga, hajanifundisha, alikuwa Wlm au forest?
Let's meet at the top, cheers 🍻
Nowadays amekuwa akionekana sana kwa TV labda ni ile issue ya kuungua kwa KilimanjaroYah Dos santos silayo alichaguliwa na magufuli kuwa kamishina wa Tanzania forest services( TFS).
Lazima aonekane maana yeye ndo kamishna wa TFS kama nilivokwambia na kila anapoonekana lazima anaongelea maswala ya misitu.Nowadays amekuwa akionekana sana kwa TV labda ni ile issue ya kuungua kwa Kilimanjaro
Na Professor Romanus Ishengoma wa hapo SUA si anahusika na misitu vilevile.Yah Dos santos silayo alichaguliwa na magufuli kuwa kamishina wa Tanzania forest services( TFS).
Huyu jamaa (marehemu Prof. Gambagambi) amesifiwa na wengi sana miongoni mwa ''alumni'' wa SUA, hasa waliosoma mambo ya uchumi na uchumi kilimo. Inaelekea alikua vizuri sana. RIP kwake.De professor DAMIAN GAMBAGAMBI ktk degrees angu ya uchumi SUA,( Alinifanya niuelewe uchumi kinagaubaga na kuwa mdadavuaji binafsi Mungu amlaze mahali pema yule Prof.maana juz kafark,)..
De proffessor BET WAIZED( jina cjui nmepatia kizee Mimi..) Nakumbuka enzi hzo natoka Ukraine for the first time...alitusimamia vzr ktk degree yangu ya pili..Mimi na Dr.Dyetabulla..kiukweli huyu mama anaroho nzuri sana,Nilipenda kumuita Mzungu mweusi...alikuwa anacheka tu,na Proffessor Xvael Arishité(cjui nmekosea)...huyu alikuwa mahili kwa mifano kama Mwl.Lewis (wa Relativity theory)...
Nmebatika kuwapata walimu wazuri na wenye kunipenda zaid ya maelezo.
#R.I.P PROF.DAMIAN GAMBAGAMBI
Zaid ya vizuri na roho yake ya utu,ili ufanikiwe maishani ukiwaza nje ya BOXHuyu jamaa (marehemu Prof. Gambagambi) amesifiwa na wengi sana miongoni mwa ''alumni'' wa SUA, hasa waliosoma mambo ya uchumi na uchumi kilimo. Inaelekea alikua vizuri sana. RIP kwake.
[emoji23], Daaah wa Tunduma University CollegeProfessor Chikumbalaga
Nasikia kashakua Dr. Lakini walimtesa sana, yaani kasotea mno hiyo PhdIshengoma wa SUA?
yeah,kwasasa ni prof na alikuwa supervisor wangu wa researchNasikia kashakua Dr. Lakini walimtesa sana, yaani kasotea mno hiyo Phd
Ndio.Ishengoma yuko department ya forest engneeringNa Professor Romanus Ishengoma wa hapo SUA si anahusika na misitu vilevile.
Mbona najua kawa Prof miaka mingi iliyopita. Na kwa umri mdogo kiasiyeah,kwasasa ni prof na alikuwa supervisor wangu wa research
Prof. Kahimba Fred,Prof. Kihupi,Prof.Mganilwa,Dr.Mwampamba (R.I.P),Dr.Kalugila (mzee wa MTH),Babu Sembuche.
Kuna mwamba mmoja Prof. Mulengera utamuelewa darasani lakini kwenye mitihani yake utatoka jasho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof. RPC Temu ni mtu mwenye utu, muungwana Sana na pia mshika dini sana. Hana makuu kabisaProf .RPC Temu nitamkubali mpaka kesho.Alikuwa na msemo wake mmoja"Mimi ndio botanist nikiebaki Tanzania nzima,tulikuwa wawili mwenzangu amekufa"😃😃