Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Huu uzi ulinipita jamani, mimi walimu wangu bora

Prof Ndanshau - Macroeconomics
Dr. Lyimo - Research
Prof. Amani
Dr. Mashindano

Ila generally walimu wa UDSM wengi wazuri, halafu ni wengi pia.. so UDSM tulibarikiwa kiasi
 
Dr.Omary Mashi(Hydraulic) now HEAD OF ENGINEERING DEPT
Dr.Lyimo(Machine Elements)
Kyando (Automobile Layout)
Dr.Kadudu
Prof.Zakaria Mganilwa
HAO WOTE NI KUTOKA NIT..
 
Kuna Mafundi pale udsm. Wapo Geography department…waishi milele wale jamaa woteeeee…
 
Prof Juan Mwaikusa na Prof Shivji UDSM - Administrative Law...
 
Bashiru alikuwa anafundisha vema sana ila daaa!! Siasa mbaya sana!
 
Sasa hivi yupo Ifakara chuo kina itwa St.Francis University College of Allied Sciences ndo mkuu wa chuo
aya, mmoja wao ni Prof. Magori! Alikuwa akimwaga mashule pale Muhi2 ya Anatomy very relaxed!
 
Prof. Rudgerburg Rweyemamu, Havard University, bg up prof. Maarifa uliyonipatia nayaishi kwa mafanikio.
 
mwalimu wangu advance shule A Mwanza.alkua zaidi ya komedi.kwanza hanyoi sharubu zake ni kama hitle,alkua very lough kuanzia nguo mpaka mwili.dadeki alkua na mkanda mweupe kama utambi wa taa.dadeki biology kwake ilikua kama kumeza mlenda mzee hatembei na kitabu wala notes ni chaki tu mkononi.alininyima raha sana maana nlikua nakaa nae kitaa kmoja mabanda yote ya gongo ndo ilikua kijiwe chake.dadeki nlikua nikikutana nae ubandani nampiga chenga ya mwili.mwamba nlikua namkubali sana fimbo alkua hajui kuitumia jina lake limenitoka maana longtime sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…