Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapata mtoto mzuri, mrembo ana elimu yake
nzuri, anajiheshimu, ana kazi nzuri na pesa anazo.
Wewe hutaki unataka tako! Kama sio bangi ni nini?
Mirungi iliyochananywa na petroli, maana sio kwa akili hizo
Kama wewe na sred zako si ni bange tuUnapata mtoto mzuri, mrembo ana elimu yake
nzuri, anajiheshimu, ana kazi nzuri na pesa anazo.
Wewe hutaki unataka tako! Kama sio bangi ni nini?
Msaada wa kapicha tafadhali...Mbona mnatusema na chura jaman, kama mwenyezi Mungu kanijalia nifanyeje? Ukiona mwanaume analalama stori za chura ujue anataman kumpata mwenye chura na anaonyesha hana bahati na warembo wa chura,, mwanamke tabia ,, Wacha niendelee kutibu wagonjwa wangu hapa hosp
Sio bangi tu, utoto na ujinga piaUnapata mtoto mzuri, mrembo ana elimu yake
nzuri, anajiheshimu, ana kazi nzuri na pesa anazo.
Wewe hutaki unataka tako! Kama sio bangi ni nini?