Hebu Mnijibu, Hii Kama Sio Bangi Ni Nini??

Flat screen inabid tuunde ka_chama ketu ili kudai haki maana manyanyaso yamezid huu ni unyanyapaa tosha.. [emoji34]
 
Mimi mtoto wa kike kama hana chura kama huyu hapana kwa kweli,ni heri upweke uniue kuliko kuwa na mtoto ambae hana chura!
 
Attachments

  • 1475988012900.jpg
    16.8 KB · Views: 746
Mimi mtoto wa kike kama hana chura kama huyu hapana kwa kweli,ni heri upweke uniue kuliko kuwa na mtoto ambae hana chura!
****** Aiseee baada ya kulinganisha na miss wangu nimeona nakosa vingi
 
Yaani uzi tukuka kama huu, una tupicha twa chura tu 1 tu!
 
Unapata mtoto mzuri, mrembo ana elimu yake
nzuri, anajiheshimu, ana kazi nzuri na pesa anazo.
Wewe hutaki unataka tako! Kama sio bangi ni nini?
Kama wewe na sred zako si ni bange tu
 
Kwan ujawai ckia baadhi ya vijana anasema nmeoa mke macho tu yamenivutia ndio maana ndoa nyingi znawashinda vijana leo wameoana kesho wameachana kwasababu wameoa tako badala ya utu wa mtu na tabia njema
 
Msaada wa kapicha tafadhali...
Seeing is believing... [emoji12]
 
Chura anaruka ruka churaa...chura ananesa nesa churaa Stunter chura huyoo!
 
Unapata mtoto mzuri, mrembo ana elimu yake
nzuri, anajiheshimu, ana kazi nzuri na pesa anazo.
Wewe hutaki unataka tako! Kama sio bangi ni nini?
Sio bangi tu, utoto na ujinga pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…