Mie naomba kuuliza na mwili huu askari polisi kweli kazi zinafanyika? Na ndugu zanguni unene sio mzuri worse enough unaweza kuleta maradhi mbali mbali. Pia utafiti unaonyesha wanaume wanene wanakuwa wanapata matatizo ya kukosa nguvu za kiume kwani huwa wanapata maradhi ya moyo ambayo hupunguza kasi ya damu katika mishipa ya kule kwenye mashine na hivyo humsababisha mwanaume kutokuwa na nguvu sahihi ya kufanya tendo la ndoa. Pia majuzi studies za marekani zimeonyesha wanaume wenye minyama uzembe kiunoni na vitambi wana more likely kutengeneza oestrogen more than testosteron levels sasa tuweni waangalifu na hivi vitambi visivyokuwa na maana na minyama uzembe sio sifa ni maradhi. Sio afya ni matatizo ningelikuwa mie ni rafiki yake huyu jamaa ningelimshauri apunguze unene before hajaanza kupata type2 diabetes, blood pressure, erectile dysfunction, na mengineyo mengi.