Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Kaka usibishane na mtu asie jitambua. Huyo anaishi kwa kukalili wewe kama ulifundishwa na Mhindi anae kupa Course outline pekee na kukuambia ujitafutie unataka kila mwanachuo afundishwe hivyo? Kwa anaesomea udaktari je? Uhandisi je? Fikri kabla ya kusema, njia ambayo wahadhiri wanapaswa kuitumia ni "modified lecture method inayo mpa uhuru mwanachuo kuuliza swali na hata kuchangia hoja". Kwa wahadhiri waliopatikana kimagumashi hawapendi kuulizwa maswali, wanahofu kitanuka kuwa ni mamluki wa elimu. Vyuo vingi vya sirikali vina watu wa namna hiyo hasa Udom. Kuna mhadhiri mmoja aliwahi kutufundisha FE 200 huyo dada alikuwa mtupu kwa kichwa, alikuwa anasoma kama anavyosoma gazeti la Udaku, hakuna hata kupunguza wala kuongeza point, pia hapendi umuulize swali anachukia. Sasa utapata picha ya baadhi ya wahadhiri wetu.
Vilaza kama nyie ndo mnafanya UDOM itukanwe, mmezoe vya dezo
Hivi huku vyuoni hakuna mechanism ya kuwafuatilia hawa
walimu ufundishaji wao, au ndio wakishaajiliwa imetoka wanaendelea
kufundisha wanavyojua wao na hakuna cross-checking maana kuna walimu
hapa Udom ni majanga, Nilitaka kutoa details za huyu lecturer lakini
nimeona nisubiri nimalize semester kwanza maana anaweza kugundua kuwa ni
mimi ndio niliouza file lake halafu akanila kichwa. ila ndio
tunamalizana nae semester hii. kwa hiyo vuteni subira.
Ten UDOM naona ina walim wazuri tu, sema products inayoenda pale ndio hakuna kitu labda. Kama akili zenyewe ndio hizi.
- nakumbuka waliandamana kila mmoja alitaka anunuliwe laptop hahaha!! Nilicheka sana .. Hapo wana computer room zina PC kibao ila wao nia yao sio kusoma ilikuwa kuandamana na visababu vyao mbuzi.
-huyu alivyokuja kulalamika hapa nka flshback kukumbuka sakala lao.
- kama hamuamini angalieni watakavyokuja hapa kwa matusi bila hoja za msingi.-
Concl: yangu:
Tatizo ni wewe mwenyewe mwanafunzi na wala sio lecturer.
dont pray for an easy life, pray for the strength to endure tough one. (Bruce Lee)Hivi huku vyuoni hakuna mechanism ya kuwafuatilia hawa walimu ufundishaji wao, au ndio wakishaajiliwa imetoka wanaendelea kufundisha wanavyojua wao na hakuna cross-checking maana kuna walimu hapa Udom ni majanga, Nilitaka kutoa details za huyu lecturer lakini nimeona nisubiri yrttnimalize semester kwanza maana anaweza kugundua kuwa ni mimi ndio niliouza file lake halafu akanila kichwa. ila ndio tunamalizana nae semester hii. kwa hiyo veuteni subira.