Hebu mwangalieni huyu lecturer wa udom

Hebu mwangalieni huyu lecturer wa udom

Kaka usibishane na mtu asie jitambua. Huyo anaishi kwa kukalili wewe kama ulifundishwa na Mhindi anae kupa Course outline pekee na kukuambia ujitafutie unataka kila mwanachuo afundishwe hivyo? Kwa anaesomea udaktari je? Uhandisi je? Fikri kabla ya kusema, njia ambayo wahadhiri wanapaswa kuitumia ni "modified lecture method inayo mpa uhuru mwanachuo kuuliza swali na hata kuchangia hoja". Kwa wahadhiri waliopatikana kimagumashi hawapendi kuulizwa maswali, wanahofu kitanuka kuwa ni mamluki wa elimu. Vyuo vingi vya sirikali vina watu wa namna hiyo hasa Udom. Kuna mhadhiri mmoja aliwahi kutufundisha FE 200 huyo dada alikuwa mtupu kwa kichwa, alikuwa anasoma kama anavyosoma gazeti la Udaku, hakuna hata kupunguza wala kuongeza point, pia hapendi umuulize swali anachukia. Sasa utapata picha ya baadhi ya wahadhiri wetu.

Wewe dogo ni poyoyo sana.
Kwa hio kwa vile huyo dada alikuwa anasoma ndio ukakonclude kuwa hajui? Dogo acha ukiazi... Umshaaambiwa usikrem. Wewe mtu ambaye kameza akija anakutemea tu ndiye unamuona kuwa anajua sana?
Ni kama watu baki wanaodhani kuwa amtu anayejua english ndio mwenye akili.
Wake up udom chuo sio kama A level hupewi kila kitu kaka. Ukiona huelewi darasani ujue wewe ndio tatizo
 
Vilaza kama nyie ndo mnafanya UDOM itukanwe, mmezoe vya dezo

Ten UDOM naona ina walim wazuri tu, sema products inayoenda pale ndio hakuna kitu labda. Kama akili zenyewe ndio hizi.
- nakumbuka waliandamana kila mmoja alitaka anunuliwe laptop hahaha!! Nilicheka sana .. Hapo wana computer room zina PC kibao ila wao nia yao sio kusoma ilikuwa kuandamana na visababu vyao mbuzi.
-huyu alivyokuja kulalamika hapa nka flshback kukumbuka sakala lao.
- kama hamuamini angalieni watakavyokuja hapa kwa matusi bila hoja za msingi.-
Concl: yangu:
Tatizo ni wewe mwenyewe mwanafunzi na wala sio lecturer.
 
Heading " Hebu angalieni" content "nasubiri nimalize chuo/ semester". Sasa tuangalie nini? Na kama ulikuwa unaogopa, umeleta hapa ili tufanyeje?
 
Hivi huku vyuoni hakuna mechanism ya kuwafuatilia hawa
walimu ufundishaji wao, au ndio wakishaajiliwa imetoka wanaendelea
kufundisha wanavyojua wao na hakuna cross-checking maana kuna walimu
hapa Udom ni majanga, Nilitaka kutoa details za huyu lecturer lakini
nimeona nisubiri nimalize semester kwanza maana anaweza kugundua kuwa ni
mimi ndio niliouza file lake halafu akanila kichwa. ila ndio
tunamalizana nae semester hii. kwa hiyo vuteni subira.

nikafikili umeweka picha au video.. Kumbe viazi tu
 
Kaka usikurupuke na kutoa habari ambazo si za kweli na huna ushahidi nazo. Tangu lini udom wameandamana kisa laptop. Ivi ilo swala linakujia vizur akilin kwel?? Watu walkua wana sabab zao za msingi za kuandamana. Jipange asee
 
sasa wewe ni mbabaishaji kushinda lecture wako . .hichi ndo ulicholeta tusome hapa
 
Ten UDOM naona ina walim wazuri tu, sema products inayoenda pale ndio hakuna kitu labda. Kama akili zenyewe ndio hizi.
- nakumbuka waliandamana kila mmoja alitaka anunuliwe laptop hahaha!! Nilicheka sana .. Hapo wana computer room zina PC kibao ila wao nia yao sio kusoma ilikuwa kuandamana na visababu vyao mbuzi.
-huyu alivyokuja kulalamika hapa nka flshback kukumbuka sakala lao.
- kama hamuamini angalieni watakavyokuja hapa kwa matusi bila hoja za msingi.-
Concl: yangu:
Tatizo ni wewe mwenyewe mwanafunzi na wala sio lecturer.

na wewe jitu zima linaishi kwa habari za umbea. .be sure of what u say
 
huyu ni mwanafunzi wa udom kweli.......mbona mawazo yake kama mtoto wa form 4
 
Hivi huku vyuoni hakuna mechanism ya kuwafuatilia hawa walimu ufundishaji wao, au ndio wakishaajiliwa imetoka wanaendelea kufundisha wanavyojua wao na hakuna cross-checking maana kuna walimu hapa Udom ni majanga, Nilitaka kutoa details za huyu lecturer lakini nimeona nisubiri yrttnimalize semester kwanza maana anaweza kugundua kuwa ni mimi ndio niliouza file lake halafu akanila kichwa. ila ndio tunamalizana nae semester hii. kwa hiyo veuteni subira.
dont pray for an easy life, pray for the strength to endure tough one. (Bruce Lee)
 
huo ni ujinga dogo...we komaa kiume coz vyuo vikuu hakuna formular ya kufundishia kila mwl anayo yake so be careful mbulula wewe....
 
we badge sasa kama unasubili semister ihishe umeleta madame ya nini? we Nina mashaka na elimu yako cjuh kama itakusaidia maishan mwako.
 
Back
Top Bottom