Hebu naombeni mnisaidie katika hili...

Hebu naombeni mnisaidie katika hili...

Broker...

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
38
Reaction score
13
Ninaye gf wangu ambaye nmekuwa nae kwa takribani miezi 8 sasa, sasa shida ni kwamba yeye huwa mara nying hapendi kunipigia cm had mim nifanye hvyo sasa ikafka kipind ukipanga kuonana anatoa excuse mim nikaona kama naibiwa nkaamua kuwa kmya kwa kipndi kama cha mwez hivi. Sasa cha kushangaza muda wote huo hakuwai kunipigia cm wala sms cku nliyokuja kumpigia cm akaanza kunielezea hadi stor za wanaume wengne wanao mtongoza sa mi nahc kama hanipend vile maana kila nspomtafuta kwenye cm naye anakaa kimya na tukipanga kukutana anatoa excuse..
'wenye msaada tafadhali naomba wachangie'
 
Piga chini, usepe!
mbona wengi tu wanatafuta wakuwakip bussy!
au una jicho moja?
 
Mwezi wa pili huu balaa,kila mtu kachuniwa,hanitext,hanical,kulikoni?..rekebishen mahusiano yenu,msije lia tarehe 14.Mpigie,mtext maradufu..
 
Mwezi wa pili huu balaa,kila mtu kachuniwa,hanitext,hanical,kulikoni?..rekebishen mahusiano yenu,msije lia tarehe 14.Mpigie,mtext maradufu..

Mwezi mgumu huu,pesa zimeishia kwenye sikukuu,jua kali,maisha hayaeleweki,mafataki wameongezeka maradufu...Siku hizi katika mapenzi unatakiwa utumie akili zaidi kuliko moyo- moyo wadanganya (vyakula tunavyokula na stress za maisha zimeharibu kabisa).
Anatakiwa kuwa mjanja kama njiwa na mwerevu kama nyoka.
 
Watoto mliozaliwa kipindi cha jk yupo madarakan mnamambo???

Jando mnaiponda yoote hayo ungefundwa huko.
 
kama ni mara ya kwanza kuwa na gf utapata tabu sana: inaweza naye akawa anakutega ili aone speed yako lakini pia inawezekana siku ya kwanza ulipo muaprochi ulienda na staili ya kulialia na kubembeleza kana kwamba bila yeye roho yako aitulii na yeye hilo akalitambua. Cha msingi jipange upya na ikiwezekana tafuta mwingine.
 
Sio wako huyo kuna mtu ambaye yupo nae karibu kwa sasa na wewe tafuta wa karibu yako upate kipoozeo acha kulialia mtoto wa kiume
hapana mkuu!! Ila ndo npo kwenye process coz tupo mbal kidogo
 
Sa wewe kusoma hujui,tuseme hata kuangalia picha huwez?toka nduki hapo..
 
Back
Top Bottom