Hebu Nasi tuwatengeneze Kina Papii Kabamba Tshishimbi.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Aloo huyu Jamaa ni Fundi/Mdukuaji Nafikiri ukipima Spidi na kati wa wachezaji waliokimbia sana jana uwanjani hapo hana hata mwezi na timu.

Ifike mahali sasa na Sisi Tuanze kuwatengeneza Wachezaji aina ya akina Kabamba ili waweze kutusaidia kwenye Timu za taifa na pia vilabu viweze kufaidika pindi wauzwapo,sidhani kama linashindikana wachezaji wetu wakijielewa.

Ukiangalia timu nyingi kubwa viungo ni wachezaji toka nje Simba wana Kotei na Niyonzima,Yanga wana Kamusoko na Kabamba,Azam wana yule Mcameroon tujiulize Kwanini,Nchi yetu ina uhaba mkubwa wa Viungo wakabaji waliokamilika ni kazi ya makocha wetu kuanzia timu za vijana kuwatengeneza viungo wakabaji.

Ukimuuliza Papii Kabamba atakwambia kakutana na changamoto nyingi mpaka leo anafika hapa ila hakukata tamaa,Nafikiri wachezaji wetu Akina Makapu,Mkude,Domayo,Sure boy,Ndemla...nk wana la kujifunza kutoka kwa wachezaji hawa wa kigeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli unachozungumza.
 
Back
Top Bottom