Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Khaa!! Ndio nini😅Vumbi😀
Ongeza phrase moja unayoijua kwenye wimbo huuMtoto wa geti kali by inspector haroun
😅😅😅Inspector Haroun ndio bingwa wakusifia misosi ya kwa mademu zake.
Inspekta anasema Demu kwao Msosi kama draft, friji na friza zimejaa, yeye kwao Ngangari Ugali na Bamia😅😅Inspector Haroun ndio bingwa wakusifia misosi ya kwa mademu zake.
"Nimekufia, nimekuzimikia mtoto wa geti kali"Ongeza phrase moja unayoijua kwenye wimbo huu
Weka namba yako ya simu hapa Umeupiga mwingi"Nimekufia, nimekuzimikia mtoto wa geti kali"
Nitumie vocha zangu usinichoshe sana.
Umepata majibu?Vocha iko wapi
Walishapatia huko juuUmepata majibu?
Ungeongeza hata verse yako nyingine ungekuwa na wewe unechangia kwenye hiliWalishapatia huko juu
Hili lidada linanyota ya vocha tu!..🤣"Nimekufia, nimekuzimikia mtoto wa geti kali"
Nitumie vocha zangu usinichoshe sana.
Haaahaa, 😅 😅 Mona centrizoneKuna Maneno matamu sana kwenye huu wimbo.
Ni wimbo wa mapenzi unaomsifia Mwanamke Mzuri mwenyenmaisha mazuri sana kwao. Ktk Verse ya Mwimbaji anasema hivi.
".......Kwao kila kitu stock, Beef Cow Kitimoto Pork......"
Nitumie vocha za halotel kwenye pm yangu.Weka namba yako ya simu hapa Umeupiga mwingi
Mzee wa vituko uswahiliniInspector Haroun ndio bingwa wakusifia misosi ya kwa mademu zake.
Sawa ngoja niende kwa wakala, niko mwanza ntamtumia Wakala wa KataviNitumie vocha za halotel kwenye pm yangu.