Hebu niambie haya maneno yako kwenye wimbo gani wa Bongo Fleva

Haaahaa, 😅 😅 Mona centrizone
Huyo nani?

Inspekta anakwambia

Huyu Dada sijui nilie au nikae kimya?

Lipstick, enjoface na makeup, ana ngozi kama imemwagiwa asali, ijigi jigi jigii......Chuchuchuuu!! Nimeuwawa kikatili ana bambataa utafikiri haendi chooni😅😅
 
Asali wa moyo part two.
 
Ujanja kuwahi..!
wewe hata ukichelewa hiyo ni nyota yako, si hata kile kipindi wanagawa mavocha humu wewe ndo ulikuwa kidedea! atakaekuja kukuoa ajipange...🤣
 
wewe hata ukichelewa hiyo ni nyota yako, si hata kile kipindi wanagawa mavocha humu wewe ndo ulikuwa kidedea! atakaekuja kukuoa ajipange...🤣
Sasa vocha za elfu 5 ni kitu cha kumshinda mume wangu?😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…