Hebu niambie, yupi mshamba kati ya hawa?

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
505
Reaction score
872
1=Mnyaturu-Aliyegonga hodi chooni?

2=Mgogo-Aliyeenda Dukani kuuliza Mbegu ya soda?

3=Muhaya-Aliyekula Hotelini akaosha vyombo?

4=Masai-Aliyemuamkia mtu kwenye Tv?

5=Msukuma-Aliyetoa laini kwenye simu ili asome sms?

6=Mchagga-Aliyeenda na spana Benki ili akafungue akaunti?

7=Mnyiramba-Aliyevua viatu alipokuwa anapanda basi?

8=Mpare-Aliyenyimwa chakula msibani akaaga akisema Mungu yupo nami nitafiwa tu mtakuja kwangu?

9=Msandawe-Aliyekimbia gari la Tigo kisa anadaiwa na mtandao?

KAMA HUWEZI TUMA KWA MWINGINE MPAKA TUMJUE MSHAMBA!
 
wote washamba
 
Back
Top Bottom