Polisi akikumata kwa kosa lolote wewe ukiwa dereva wa gari ndogo,saloon car,na kwa bahati mbaya lile kosa likawa linahitaji document au uthibitisho fulani ambao kwa muda huo hauwezi kupatikana na hivyo basi ikakulazimu uache gari kituoni,je,ni kisheria ni sahihi niache gari na funguo ktuoni bila ya polisi kunipa doc yoyote inayothibitisha kuwa nimewakabidhi gari???What if the next day naenda kulikomboa gari then kwa reason yoyote ile likawa halipo,nina proof gani kuwa niliwaachia gari???Please help me on this