Hebu nijuzeni juu ya hili wadau!!!

Hebu nijuzeni juu ya hili wadau!!!

Nsemwas Junior

Senior Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
173
Reaction score
56
Polisi akikumata kwa kosa lolote wewe ukiwa dereva wa gari ndogo,saloon car,na kwa bahati mbaya lile kosa likawa linahitaji document au uthibitisho fulani ambao kwa muda huo hauwezi kupatikana na hivyo basi ikakulazimu uache gari kituoni,je,ni kisheria ni sahihi niache gari na funguo ktuoni bila ya polisi kunipa doc yoyote inayothibitisha kuwa nimewakabidhi gari???What if the next day naenda kulikomboa gari then kwa reason yoyote ile likawa halipo,nina proof gani kuwa niliwaachia gari???Please help me on this
 
kunaform anatakiwa kukuandikia ata akibaki na leseni yako au chochote ila kama unavyojua nchi yetu tena kia k2 tambarare
 
Swali lako zuri, ila mimi siwezi kumuachia gari. Ntajaribu kuwapigia nyumbani waniletee hizo documents au kama sina namuachia kitambulisho changu kwa muda hadi nipate hizo documents.

Sorry kwa kwenda nje ya swali kidogo.
 
Polisi akikumata kwa kosa lolote wewe ukiwa dereva wa gari ndogo,saloon car,na kwa bahati mbaya lile kosa likawa linahitaji document au uthibitisho fulani ambao kwa muda huo hauwezi kupatikana na hivyo basi ikakulazimu uache gari kituoni,je,ni kisheria ni sahihi niache gari na funguo ktuoni bila ya polisi kunipa doc yoyote inayothibitisha kuwa nimewakabidhi gari???What if the next day naenda kulikomboa gari then kwa reason yoyote ile likawa halipo,nina proof gani kuwa niliwaachia gari???Please help me on this

Kwanza kwani akamate gari. Kwani kosa linahusiana na traffic laws? Sioni ni kwa nini akamate gari kama hilo gari halina uhusiano wowote na kosa. Kama ni kosa la traffic tuseme ulikuwa unaendesha bila leseni, then anaweza kuchukua gari. Ila inabidi akupe document kuwa polisi wanalimiliki gari lako kwa sababu fulani na itakugharimu shilingi ngapi kila siku kwa kuliweka hilo gari
 
Back
Top Bottom