Hebu nikumbushe sentensi yako ya kiingereza uliyowahi kuchapia form one ulipokuwa shule

Hebu nikumbushe sentensi yako ya kiingereza uliyowahi kuchapia form one ulipokuwa shule

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
955
Nakumbuka niliandikiwa na brother kwenye debate badala ya "im here to propose " nikasema " im here to glucose.tililikeni za kwenu
 
Nadhan umekosea jukwaa, hebu fanya kuhamisha uzi ndugu
 
Huu Uzi huku umepotea si mahala pake
 
Back
Top Bottom