Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Umeona sasa? Nakushauri we unaendelea? Acha kufuatilia mambo ya wanaume wenzio. Shauri zako. Usije ukasema sijakushauri.Basi wewe utakua mwanaume wa Dar tu sasa maana hakuna namna?!
Haya mambo waachie wamama.... kwao umbea ni sunna.