Hebu nipeni ukweli wa hii mimba

Basi wewe utakua mwanaume wa Dar tu sasa maana hakuna namna?!
Umeona sasa? Nakushauri we unaendelea? Acha kufuatilia mambo ya wanaume wenzio. Shauri zako. Usije ukasema sijakushauri.

Haya mambo waachie wamama.... kwao umbea ni sunna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…