DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ni kijana msomi au sio msomi ila anajitambua kila nyanja. Ana kipato kizuri, ni God fearing Person, anajua kukaa na jamii yake na kujishusha pale ikibidi.
Mpole na ana upendo wa kweli, sio mtu wa wanawake ila ni monogamist, ana uwezo kuhudumia vizuri familia yake na mke kwa kile alichojaliwa kupata. Msafi wa mwili, roho na matendo ni masculinity
Sasa kila mwanamke anasali, ili kumpata na ukiangalia idadi ni ndogo sana ukilinganisha na wanawake wanawowahitaji.
Sasa ukikisia wanaume hawapo wa kuoa ndio dada zetu wanamaanisha hawa, so niseme tu tatizo la wanawake kukosa wanaume litaendelea kuwepo sana tena sana maana mwanume wa maana kumpata sio jambo rahisi labda wa kukupa mimba na ngono za hapa na pale hao wamejaa.