Hebu pitia na hili kuhusu rasimu ya katiba mpya.

Hebu pitia na hili kuhusu rasimu ya katiba mpya.

NGALLYA

Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
15
Reaction score
2
Katika rasimu ya katiba mpya inayopendekeza muundo wa serikali tatu kwa kuwa na " SHIRIKISHO " la bara na visiwani kwa kumaanisha kwamba Muungano wetu utaendelea kuwepo mimi naona si sahihi kwani kama tunahitaji muun gano basi tuwe na serikali moja tu.Mantiki yangu ni kwamba,maneno yaliyotumika ambayo ni " JAMHURI YA MUUNGANO " kwa sasa na "SHIRIKISHO" kwa hii rasimu ni maneno yenye maana tofauti kwani MUUNGANO hain a maana sawa na SHIRIKISHO hivyo basi ni maoni yangu kwamba rasimu hii ya katiba yenye muundo wa serikali 3 pamoja na watu wote wanaopendekeza hilo shirikisho naona wanatupotosha kwani endapo tutapata katiba itakayotamka "SHIRIKISHO" wao wanasiasa watakuja na tafsiri ya kisheria ambayo itaonesha maana sahihi ya SHIRIKISHO ambayo haipo sawa na maana halisi ya neno MUUNGANO.

"TUNAWEZA KUSHIRIKIANA KUPITIA SHIRIKISHO LA NCHI MBILI LAKINI TUSIUNGANE"

HIVYO BASI KAMA TUNAUHITAJI MUUNGANO TUWE NA SERIKALI MOJA YA MUUNGANO TU.AHSANTENI wazalendo :disapointed:watanzania wenzangu.
 
sasa hyo inahusu education au politics ungeiweka mahal husika sio hapa nyie ndo mnaotuwekea topics za mapenz humu weka mambo yenye maana kijana
 
POTTASIUM;-Education means-Information about anything.Pia kuelimika ni pamoja na kujua na kupambanua mambo hivyo bac hii topic sio dhambi kuwepo katika jukwaa hili.Waweza tembelea jukwaa la siasa pia utaikuta mada hii.
"TAFAKARI CHUKUA HATUA".Kuwa makini unapotaka ku-argue kitu.
:shock::heh:
 
Back
Top Bottom