Hebu sema jinsi kabila lenu linavyoharibu majina ya watu.

Hebu sema jinsi kabila lenu linavyoharibu majina ya watu.

Mpaka saa hii hakuna aliyelisema kabila lake maana Watanzania ama ni wamoja na au hawapendi kusema mabaya ya makabila yao
 
Abdul~~Duli.

Yusuf~~Usufu.

RazaQ~~~Razaki

Hassan~~Asani
 
Humu ndani inaonekana Kuna wasuKUMA wengi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nımekaa usukumani kıpındi fulani aisee wasukuma wanakatisha mno majina na jinsı wanavyotamka ni tofauti na jina linavyoitwa

Abıagel - bıga
Rebeka -rebee
Emmanuel - Ema
Junıor - junı
 
Back
Top Bottom