sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Wasukuma wanaharibu majina balaa.Nımekaa usukumani kıpındi fulani aisee wasukuma wanakatisha mno majina na jinsı wanavyotamka ni tofauti na jina linavyoitwa
Abıagel - bıga
Rebeka -rebee
Emmanuel - Ema
Junıor - junı
Maria~Maari
Athmani~Aasu
Frank~Fuure
Ezekiel~ Eeze