jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Unaumwa wewe.....Kuna baadhi ya nyuzi zinakera kinoma humu JamiiForum hasa anazobandikaga jerrysonkiria na STUNTER kwanza huyu stunter anabandika manyuzi mengi kama ni mod wa JF anakera kinoma
na nyuzi zake hazina hata maana
Ila jerrysonkiria nahisi nimemsingizia tu hakuna ukweli kwanza yeye mtu mwema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzi niliouchukia kuliko zote ni huu wa kwako! una dalili za UCHOCHEZI na chuki kama kauli za********...Yeah huyo huyo jana kule baharini.
Tena anaumwa kabisa,hebua toa topic sasa hivi sie tunazipendaUnaumwa wewe.....
Atakuwa jiwe limemlengaTena anaumwa kabisa,hebua toa topic sasa hivi sie tunazipenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaumwa wewe.....
Jamaa anataka kuua bendiTena anaumwa kabisa,hebua toa topic sasa hivi sie tunazipenda
Kumbe???? Ngoja nifanye makeke[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ama kweli weekend inaisha vizuri
Ashindwe na alegee.Jamaa anataka kuua bendi
Maneno matupu hayavunji mfupa,Ashindwe na alegee.
Ila unatoa sana siri za watt wa kike hapa mjini
Punguza mkuu tutaishije km utatoa siri za kambi daily?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaumwa wewe.....
Ooh, Namimi nimelipokea pendo lako kwa mikono miwili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekupenda bure! Ulivomjibu fasta!!!