Hebu sema. kuwa muwazi nyuzi ulizozichukia humu JamiiForum

Hebu sema. kuwa muwazi nyuzi ulizozichukia humu JamiiForum

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Kuna baadhi ya nyuzi zinakera kinoma humu JamiiForum hasa anazobandikaga jerrysonkiria na STUNTER kwanza huyu stunter anabandika manyuzi mengi kama ni mod wa JF anakera kinoma
na nyuzi zake hazina hata maana

Ila jerrysonkiria nahisi nimemsingizia tu hakuna ukweli kwanza yeye mtu mwema.
 
Unaumwa wewe.....
 
Uzi niliouchukia kuliko zote ni huu wa kwako! una dalili za UCHOCHEZI na chuki kama kauli za********...Yeah huyo huyo jana kule baharini.
 
Ashindwe na alegee.
Ila unatoa sana siri za watt wa kike hapa mjini
Punguza mkuu tutaishije km utatoa siri za kambi daily?
Maneno matupu hayavunji mfupa,
kama vipi jipangeni mnipe kifunga mdomo,
Kisha muanze kushuhudia thread za
kuwasifia
 
Back
Top Bottom