Hebu sikilizeni hii nyimbo mpya jameni

Hebu sikilizeni hii nyimbo mpya jameni




Hapa nimefika kikomo, sina haja ya kusikiliza nyimbo tena kwa mwezi mzima, hii nyimbo ni dozi tosha
Kenya mnarocha aisee nimeharibu mb bure.
Ebu fanya mbadala wa hiyo mabata madogomadogo yanaogelea na hii hapa.

 
Dah! Huyo demu ameniacha hoi, yaani anatikisa mauno...mamamayoooo
 
Back
Top Bottom