Hebu soma dialogue hizi za wanandoa vijana wa hapa uswazi kwetu.

Hii imetokea jana tu live kabisa hapa Ninapoishi, sasa huyu alimwangushia kipondo dada wa watu leo kaamuaka uso wote umeumka. Binafsi nimeongea na huyu mkaka, kama umemchoka mkeo its better umrudishie kwao, kuliko kumnyanyasa, humwachii hela za chakula bado ukiombwa hela unaanza kumpiga, hakunijibu kitu, hata hivyo vijana wanakimbilia kuoa wakati uwezo wa kuhudumia hao wanawake hawana

 
NO!!! hii si kweli!!!!unatoa wapi uongo huu?wengine ndoa ni pepo ya hapa duniani.....usiwe unakariri na kugeneralize issues!:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
"Kama unataka kupoteza sehemu ya uhuru wako ingia kwenye ndoa"
AMANI IWE NASI...
 

ndoa nyingi zinamatatizo lakini matatizo hayo hutofautiana,wengi wenye matatizo hupenda kuyafanya kuwa siri ndani ya mioyo yao,kwa ishu ya hawa wana ndoa ninaowazungumzia hali imekuwa mbaya,watu wanadhani hii stori nimetunga,ukweli ni kwamba hii ni stori ya kweli 100% na yahayoendelea kwa sasa ni kizazaa mtupu.
 

ndugu ndoa nyingi zina mambo ya kutisha,tunashuhudia mengi sana huku mitaani ila ukiwaambia watu wa jf wanasema stori za kutunga,ndoa nyingi hazina amani kabisaa.
 

Nakapanya, nadhani hii topic yako inatuonyesha yale ambayo kwa kweli yanatokea ndani ya baadhi ya majumbani yetu. Ningependa kisistiza neno "baadhi." Kwa mtazamo wangu ni kwamba hawa wanandoa kwenye huu mfano wako wameishachokana. Huyo mume anachotakiwa ni kutoa talaka badala ya kumshauri kwenda kujiuza.

Ebu fikiria kidogo; Ukifuga mbwa (mnyama) na ambaye unamjali, zaidi ya kumpa mabaki ya chakula cha nyumbani, wakati mwingine unaenda kumtafutia chakula nje ili kuhakikisha anashiba. Sasa inakuwaje unamuacha mke wako wa ndoa bila chochote kutwa nzima? Halafu akikuuliza unakuja juu?
 
very bad comparison, kuna watu watakuwa offended hapa
 

unayosema ni kweli kabisa;ndio aana nikasema kama amemchoka si amrudishe kwao,hivi ninavyokwambia bibie huyo juzi aliaga anakwenda kusalimia kwao na kuahidi atarudi siku hiyohiyo lakini hadi naandika hv sasa bado hajarudi na bwana yuko comfotabo tuu yani kifupi hajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…