Hebu soma halafu niambie ni sahihi au sio sahihi?

Hebu soma halafu niambie ni sahihi au sio sahihi?

Ingekuwa kuna ku kopyi na ku pesti sheria nadhani ningemuomba mkuu wetu akazi kopyi na kuja kuzi pesti kwenye gavumenti gazeti kesho asubuhi na kuzifanya ziwe sheria mama hapa Tz. Nawaunga mkono hawa mabeberu 100%.
Wewe ni sheria ipi hapo hukuipenda??
 
Ukialikwa kwenye tafrja hotelini hakikisha unayo pesa ya akiba kwa unywaji wa vilevi, chakula na mvinyo utapewa ila kilevi unaweza ukaambiwa ulipie! Hata rafiki yako akikualika baa nawe ujiandae si kwa mwanamke au mwanaume. Ndoa kwa mkataba na kumeng'enyana na mkeo ni kwa makubaliano vinginevyo mahakamani. Mwanao akikua ni balaa utamshangaa kama kweli ulimzaa wewe.
 
Ibada si zaidi ya saa 1.
Sasa hapa bongoland sheikh au mchungaji, padri anakwambia roho amemshukia anapiga neno mpaka saa 1420hrs, duuu!.
 
Lakini iko mbinu, siyo kama hawatumani 100%. Iko namna ya kutumana ambayo si ya shuruti na mambo yanaenda vema.
Mzee wa boma (afrika) unaenda kuchota maji ya kuoga mtoni watoto wako wanacheza lede!!
 
Back
Top Bottom