Hebu taja hapa zile furaha ndogo ndogo ambazo hazitoshi kumwambia mtu ila huwa unajisikia raha

Pale unapobanwa na njaa kali halafu unarudi home unakuta umetengewa chakula unachokipenda[emoji39]
 
Kukaa siti ya dirishani gari ikiwa imejaa
Ile feeling unaona umeyapatia maisha kinyama
 
Hakyamama nikikukuta mbinguni narudia mlangoni...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka saaana
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃrudi hapa fasta arifuu
Sasa we nikikuita majina naniliu unasara na mi huo ndo ugonjwa wangu!.. unataka nitafutia kesi tu mi sitaki kung'atwa unafikiri siyajui mapigo yako..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜œ
 
Sasa we nikikuita majina naniliu unasara na mi huo ndo ugonjwa wangu!.. unataka nitafutia kesi tu mi sitaki kung'atwa unafikiri siyajui mapigo yako..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜œ
We nae si utu mie dawa huo ugonjwa uishe..
Achana na hayo majina bhana๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Umecheat na mke/mme wa mtu ukahisi kuna mtu kakuona asubuhi unakaa na mawazo sana mara anatokea unaehisi kakuona anakua hana habari wala haoneshi jipya raha xana unaweza kwenda kulala kwa furaha
 
He he! Leo umebadirika sana..[emoji849]
Kukaza nakaza isipokuwa namkazia Nani..[emoji28]

We nakuogopa toka unipe yale makatazo yako.. tusije haribu Uzi wa watu dada..

Kama hizo ndo furaha zenu endeleeni tu.
 
He he! Leo umebadirika sana..๐Ÿ™„
Kukaza nakaza isipokuwa namkazia Nani..๐Ÿ˜…

We nakuogopa toka unipe yale makatazo yako.. tusije haribu Uzi wa watu dada..
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃnimecheka jmani.

Safi sana.wozaaaahhhh๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ
Tatizo lako huwa unajisahau KENZY bhana...maneno yako huwa yanapitiliza.

Ila hakuna kilichoharibika mwamba๐Ÿค›๐Ÿค›๐Ÿค›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ