Mara ghafla kamba ikakatika..na hapo uani hakuna sakafu, ni muda tu umewafukuza watoto waliokuwa wanacheza mpira ili uanike nguo.Au ile umewahi umeanika kamba imejaa halafu kumbe kuna mtu umemuwahi tu naye anafua, basi unajiona umepatia timing kinyama.
[emoji23][emoji23][emoji23] hakika imekugusa..Uzi ufungwe. Hakuna furaha inayozidi hapa
Kwamba mimba ni issue tatizi? Naanza kuamini abortion ni hatari kuliko Ukimwi siku hiziPale umecheza kamech kako rough halafu ni danger zone, ile presha unapatana nayo kwa siku kadhaa huwa haielezeki, mara ghafla kuna namna unahisi hali flani ya tofauti kwenda kujichungulia unakuta wageni wamekuja.!! π
Ile feeling sisi hupata na maombi ya shukrani tunayosema huwa tunajua wenyewe.!!π₯°
Hii furaha huwa kwangu ni bonge la furaha aisee!Furaha ya kutongoza demu halafu straight anakukubalia
Kuna kale kaugonjwa kale koo limawasha lakin ukitaka kuyema kohoz alitoka sasa inatokea bahat unakohoa gafla tu unashangaa kohoz limenasa afu ili hali ya koo kuwasha inapungua basi unajiona mjanja furaha kibaoWajumbe, ni Kazi Tu au Kazi na Bata!
Haya maisha bhana fanya yote ila hakikisha unafurahia, viwango vya furaha vinatofautiana kutoka ndogo hadi zile kubwa ambazo hadi watu wengine watajionea.
Basi kwa kutambua tofauti hizo, sio vizuri kuipuuza furaha ndogo kwa kutarajia kubwa isiyo na uhakika. Unaweza kungoja milele, na hivyo utaishi bila furaha kwa sababu tu ya tamaa na mapuuza.
Nitaanza kwa mifano michache, kisha nawe utashea za kwako:
1. Umekwangua vocha ukafuta namba kadhaa, ila ukafanikiwa kubuni namba kitu ikasoma... ile feeling niaje! Enhee hiyo hiyo.
2. Ile muda umegombea daladala na ukabahatika kupata siti, unafeel aje! Tena unajikausha kama sio wewe, furahia.
3. Upo kwenye mdahalo halafu hujui kitu imeulizwa, unaona mwezeshaji ananyoosha mkono kukuelekea... ghafla jirani yako anainuka kujibu.
4. .......
5. ........
Tuendelee!
Miscellaneous happiness!!
Kuna kale kaugonjwa kale koo limawasha lakin ukitaka kuyema kohoz alitoka sasa inatokea bahat unakohoa gafla tu unashangaa kohoz limenasa afu ili hali ya koo kuwasha inapungua basi unajiona mjanja furaha kibao
Na hapo ndipo unapojua kwenye msafara wa mamba na kenge wapo..πUmeme umekatika kwako unahisi kama umeisha kwa kuwa zilibakia units chache na pesa hauna, unachungulia kwa jirani unaona giza pia! [emoji4][emoji4]