Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 828
- 1,513
Wajumbe mungu anawaona , wagombea wamekuwa wanahisabatiNa unabaki unajiuliza katika watu 100 ni watatu gani hao walionipigia apo ndo unaanza sasa kupiga hesabu kama za mwana hisabati🤣🤪🤦🏃
Iliwahi tokea daaah yule mdada nilimjibu kwa wema tyuuuh. Afu hat hakuamin eti.Mdada anaenipita sehemu kwa nyodo na dharau bila kusalimia kumbe sehemu anayo enda haijui then anarudi kuniulizia[emoji28][emoji28]hapo ndipo furaha huja sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1635][emoji1635]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vile mtu hapendi fanya usafi chooni alafu amebanwa na tumbo la kuhara anakuomba umpishe aingie unajifanya Kama hujamsikia..ukishai gia toilet Kuna katabasamu fulani hivi kanakuja ka kumkomesha[emoji23][emoji23]
Unapatiaje sasa lolUmechuniana na mpenzi kwa kisa Cha kijinga..alafu umeamka asubuhi unakutana na "morning beautiful" [emoji23][emoji23] katabasamu kake Sasa kale ka kujishaua..acha kabisa[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vile mpo kituoni hupaelewi vizuri unapoenda unamuuliza sistaduu wa pembeni yako kiustaarabu kabisa mabasi fulani yanapaki wapi alafu anajikuta hakusikii au anajibu kwa nyodo[emoji23][emoji23]..mwisho wa picha mnapanda bus moja konda anataka nauli sistaduu kaibiwa zamani Sana..alafu anakutana na maneno ya konda..[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna katabasamu fulani hivi kanakuja hadi unatamani hata kucheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahInaonekana ushakuapata huu mkasa..[emoji23] umeyajua yote hayo.. wengine hukata na tamaa wanaanza kusema "Niuwe tu"[emoji23]
Kumbe wee nunda uwiiiiiiiih[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]kama nakuona kudadeki
Nilimuwasha tukio haki tena nilimuacha anakohoa....nilimuachia vumbi[emoji28][emoji28]kufika mbele nikakutana ni kikosi kazi changu nikasnza kutembea kama boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi ni ni watu na familia zao aise [emoji28][emoji28]
Hapo nazungumzia mwaka 2000 madame enzi za utoto wa darasa la ngapi Sijui 😅😅Kumbe wee nunda uwiiiiiiiih
Nikiona maccm yameshindwa uchaguzi huwa najihisi kuwa na furaha sana moyoniWajumbe, ni Kazi Tu au Kazi na Bata!
Haya maisha bhana fanya yote ila hakikisha unafurahia, viwango vya furaha vinatofautiana kutoka ndogo hadi zile kubwa ambazo hadi watu wengine watajionea.
Basi kwa kutambua tofauti hizo, sio vizuri kuipuuza furaha ndogo kwa kutarajia kubwa isiyo na uhakika. Unaweza kungoja milele, na hivyo utaishi bila furaha kwa sababu tu ya tamaa na mapuuza.
Nitaanza kwa mifano michache, kisha nawe utashea za kwako:
1. Umekwangua vocha ukafuta namba kadhaa, ila ukafanikiwa kubuni namba kitu ikasoma... ile feeling niaje! Enhee hiyo hiyo.
2. Ile muda umegombea daladala na ukabahatika kupata siti, unafeel aje! Tena unajikausha kama sio wewe, furahia.
3. Upo kwenye mdahalo halafu hujui kitu imeulizwa, unaona mwezeshaji ananyoosha mkono kukuelekea... ghafla jirani yako anainuka kujibu.
4. .......
5. ........
Tuendelee!
Miscellaneous happiness!!
Ooooh ukataka umng'oe meno bila ganzi mtoto wa watu.Hapo nazungumzia mwaka 2000 madame enzi za utoto wa darasa la ngapi Sijui [emoji28][emoji28]
Kuna siku mwanangu, niko safari na mgonjwa. Inanilazimu kulala mahali ndipo siku ya pili niendelee na safari mfukoni nina 30,000/=. Ninajaribu kuomba msaada kutumiwa hela kwa mpesa, mtandao unasumbua hela hazihami.Uwe huna pesa halafu ghafla unasoma message mpya ya "IMETHIBITISHWA" [emoji4]
Acha uhuni, kodogo nionekane chizi kwa kutaka kutoa sauti ya kicheko.Umekosa nauli, mala unaokota pochi, kumbe imejaa kondom tu ..
Unafeel niaje
Hii ilishawahi nitokeaga hata mimi, kuna siku nimefulia nakuja kutoa jeans yangu nivae nakuta elf 20 kumbe niliiweka bahati mbaya na mimi nilishazowea kuweka kwenye wallet.... Hiyo furaha yake haikua ndogo.Unaamka asubuhi hauna mia, kwenye kufukua nguo chafu ghafla buku mbili au tano hii hapa uliisahau mfukoni! [emoji4][emoji4][emoji4]
Hapo kupiga nduru lazimaUwe huna pesa halafu ghafla unasoma message mpya ya "IMETHIBITISHWA" [emoji4]
Hahaa bangi hiziIle umejamba kitu harufu ya hatari, ila ukagundua hakuna mtu mwingine itamfikia![emoji41]
Hahaa daahh!!!Pale umecheza kamech kako rough halafu ni danger zone, ile presha unapatana nayo kwa siku kadhaa huwa haielezeki, mara ghafla kuna namna unahisi hali flani ya tofauti kwenda kujichungulia unakuta wageni wamekuja.!! [emoji23]
Ile feeling sisi hupata na maombi ya shukrani tunayosema huwa tunajua wenyewe.!![emoji3059]