Hebu taja hapa zile furaha ndogo ndogo ambazo hazitoshi kumwambia mtu ila huwa unajisikia raha

Baada ya kumfukuzia mtoto mkali siku nyingi halafu kimtindo baada ya kuona kuwa haeleweki ukampotezea

Siku ya siku umekaa ukiwa tayari umeshaanza kumsahau ..ghafla unashangaa simu yako imepokea text/call mtoto ana kwambia ukalipie room lodge Anakuja kukupa nono yake

Mimi huwa nina rukaga hadi sarakasi yaani furaha yake huwa haielezeki
 
Wagen.
 

😁😁 hiyo kweli mkeka ulitiki. Mungu ambariki aliyetuma
 
Kumshikia mtu nisiyemjua mlango ili aingie ndani au kumsubiri kwenye elevator na yeye kunishukuru.
 
Teacher : "naomba kipindi changu hiki mkitumie kujisomea sitaki kelele nina kazi oficn" 😊😊😊😊
 
Kilaza ww Unacheki paper una 12%. Kuja kugundua kumbe kichwa wa darasa kagonga 19%.

Aisee kale ka feeling mzee .ahhhh 😁
 
Kumshikia mtu nisiyemjua mlango ili aingie ndani au kumsubiri kwenye elevator na yeye kunishukuru.

Hii ni kweli, unajikuta gentleman kinyama![emoji41]
 
Reactions: BAK

Mkuu, pesa ilitokea wapi na mbona uliitoa pesa yote! Je, ulikuwa na hofu ni mtu kakosea?
 
Mnaijua ile raha ya kupekecha maskio na ‘cotton buds’ au unyoya?

Eeh bwana weee, hata ‘bao’ likasome!
 
Hutembeleagi mikono??
 
unakua na mpenzi slay queen huyooo,mnatibuana mwisho mnaachana kabisa

baada ya wiki tu unaona status akijipongeza ktk siku yake ya kuzaliwa (birthday)

unajua ile raha yake inavyokuaga eeh,maana unajua fika laiti hii siku ingewakuta pamoja

hamna siku ambayo ungeingia gharama kama ile maana birthday za hv vidada bana,wana mahitaji kama buku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…